Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kubugia midawa ovyo!! Kama hizo dawa umepewa na Daktari si angekuelekeza namna ya kutumiaWadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari ya kupata mimba?
clomiphene citrate ni ovulation inducer anaanza kutumia akiwa kwenye siku zakeWadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari ya kupata mimba?