Msaada tutani: kwa matokeo haya asome course ipi jamani.

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,448
Reaction score
1,624
Nina mdogo wangu anamatokeo haya kwa o'level, F ya history, C ya kiswahili na Chemistry na mengine yote ana D. Lakini amesoma certificate ya education yaani sasa ni mwalimu kwa sasa na hii alifaulu sana. Anataka kubadili fan anataka aende kilimo je atasoma diploma au atasoma certificate tena, na swala la ajira kwa kilimo likoje.
 
Kwanini kwanza anahama kwenda fani nyingine.
 
Inawezekana kuendelea diploma ya fani nyingi bila wasiwasi wowote
 
kwa vile tayari ana Certificate ya Education, inatosha kumpeleka kusoma Diploma, kama anataka aende kilimo aende tu siku swala la Ajira ni probability hivyo inategemea na mtu anavyojishughulisha; kumbuka kwamba ukiachia FANI ya UALIMU na UDAKTARI hakuna FANI nyingine yenye Direct Employment ni kupambana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…