Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,624
Nina mdogo wangu anamatokeo haya kwa o'level, F ya history, C ya kiswahili na Chemistry na mengine yote ana D. Lakini amesoma certificate ya education yaani sasa ni mwalimu kwa sasa na hii alifaulu sana. Anataka kubadili fan anataka aende kilimo je atasoma diploma au atasoma certificate tena, na swala la ajira kwa kilimo likoje.