Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Habari!
Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.
Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.