Msaada tutani kwenye gharama za finishing ya nyumba

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Habari!

Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.

Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
 
Labda upatiwe wastani wa gharama za ujenzi kwa square meter moja halafu ndiyo ufanye makadirio.

Hiyo mita 30 kwa 40 ni kiwanja au nyumba? Maana ikiwa nyumba basi hilo ni mansion, hapo weka siyo chini ya milioni 200!
 
Habari!

Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.

Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
Futi 30*futi 40 au 30m*40m ?
 
30mx40m??? Hii siyo nyumba labda kanisa au godown.

Kiongozi wacha utani basi.

Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!

Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
 
Wenye hizo hela hawahoji gharama za finishing
Wanakabidhi kazi kwa kampuni kazi yake ni kuhamia tu
 
Kiongozi wacha utani basi.

Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!

Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
Jamaa kaandika nyumba ya 30*40 metres....ndio tunauliza hiko ni kiwanja au alimaanisha 30*40ft
 
Kiongozi wacha utani basi.

Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!

Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
Sipiti pembeni wala nini. Tutabanana humu humu. Nyumba ya mtanzania mnyonge kama wewe haiwezi kuwa 30mx40m. Hivyo ni vipimo vya kasri la malkia wa uingereza
 
Nilishashuhudia msingi wa 100M! tena nyumba ya kuishi tuu...

Kwa hiyo nikiona mtu anaulizia gharama za ujenzi napita pembeni 🙂
 
Tiles..muite fundi akupimie atakwambia box ngap zinahitajika..
Kifupi..kama vipimo vyako ni sahihi..tafuta fundi wa kila hatua..atakupa gharama ya vifaa..
Umesahau 'wiring'..heheheheee na wire zilivyo na bei sa hv..conduit tu 1600..
 
Habari!

Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.

Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
Mkuu hiyo 30mx40m sio nyumba ya kawaida vipimo ni vikubwa Sana hivyo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Habari!

Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.

Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)

Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!
20210529_124307.jpg
 
Back
Top Bottom