30mx40m??? Hii siyo nyumba labda kanisa au godown.
Futi 30*futi 40 au 30m*40m ?Habari!
Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.
Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
30mx40m??? Hii siyo nyumba labda kanisa au godown.
Kiongozi wacha utani basi.
Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!
Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
Jamaa kaandika nyumba ya 30*40 metres....ndio tunauliza hiko ni kiwanja au alimaanisha 30*40ftKiongozi wacha utani basi.
Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!
Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] 30 x 40m eti Godown.Hiyo ni size ya kiwanja itakua
Hata asipokabidhi kazi kwa kampuni, lkn hahangaiki na kuuliza bei ya finishing.Wenye hizo hela hawahoji gharama za finishing
Wanakabidhi kazi kwa kampuni kazi yake ni kuhamia tu
Sipiti pembeni wala nini. Tutabanana humu humu. Nyumba ya mtanzania mnyonge kama wewe haiwezi kuwa 30mx40m. Hivyo ni vipimo vya kasri la malkia wa uingerezaKiongozi wacha utani basi.
Kuna watu wanajenga nyumba mpaka unajiuliza wewe una feli wapi. Gharama ya kuzungushia temporary fence unakuta ni gharama ya nyumba ya Masanja mpaka anaingia!
Mkuu kama huna hela pita pembeni.....wenye pesa zao wachangie uzi.....
hebu weka bei hapa boss. Nahitaji Granite 40x40 na 50/50Nitafute mkuu nikupe bei tiles kwa size ya nyumba yako..
Mkuu hiyo 30mx40m sio nyumba ya kawaida vipimo ni vikubwa Sana hivyoHabari!
Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.
Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
Mnyonge ni Kachala au sakalaWTF is mnyonge?
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)Habari!
Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master haijawekwa vifaa vya choo cha kukalia, sebule, jiko, sehemu ya dining.
Je kwa gharama ya vifaa vya ujenzi ya sasahivi, gharama ya finishing ya nyumba tajwa kwa makadirio ya karibu yaweza kua shilingi ngapi? Wataalam wa ujenzi tusaidiane.
futi 30*40 hiyo ina mwelekeo (mita 10 x 13)Futi 30*futi 40 au 30m*40m ?