Msaada tutani maana halisi ya neno Mstahiki!

Msaada tutani maana halisi ya neno Mstahiki!

Shokolokobangoshey

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
311
Reaction score
82
Jamani kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata taabu kulielewa hasa maana ya hili neno MSTAHIKI. Je lina maana gani hasa? Na kwa nini kwa hapa Tz linatumika kwa Meya tu na si kwa kiongozi mwingine yeyote? Manake kama neno muheshimiwa linatumika kwa viongozi wote tu na kichekesho zaidi Meya anayachukua haya maneno yote mawili kwa pamoja utasikia anatambulishwa kama Muheshimiwa Mstahiki meya wa sehemu fulani! Sasa hili neno mstahiki lina uspecial gani hadi hata mtu kama raisi wa nchi asiruhusiwe kulitumia na aruhusiwe kulitumia Meya tu? Na je hili neno linajulikanaje kwa kiingereza manake naona mameya nchi zingine wanatumia tu honorable fulani . Natumaini ntapata ufumbuzi mzuri zaidi hapa jamvini kwani naamini tuna maGreat Thinkers wengi watakaoweza kunisaidia kwenye hili. Thanks in advance waungwana.
 
Back
Top Bottom