Msaada tutani, malipo ya NEMC

Msaada tutani, malipo ya NEMC

eddygo9

New Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mfanyabiashara, ya kuuza spea za malori, biashara ipo katika jengo la ghorofa 3 yani chini, 1st na 2nd floor, chini ndio biashara ilipo na juu ni makazi, sasa nilitaka kujua kuna malipo yoyote ya kila mwaka natakiwa nilipe NEMC kutokana na floor zilizopo hapa?

Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom