Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Kwanz mwanaume hanuni kbsa (anakasirishwa au kuwa kimya)

Lakn hasir nying za wanaume hazivuki lisaa 1 kama ni mambo ya kawaida ,,....

Kazn kumpa show bro aache kununa lasivyo tutamlia tunda lake
 
Ebu tupe japo kidogo historia yake wakati wa ukuaji, Wenda kalelewa na wadada sana hadi kajikuta anaiga tabia za kike kike.

Mwanaume huwa hajinunishi nunishi, anatoa maamuzi au kutafuta suruhu basi
 
Kwani uliolewa na Malaika?
Kwani ukimuacha huyo utapata mkamilifu zaidi yake?
Kila mtu ana mapungufu yake, na ndio maana ya ahadi mlioweka kanisani. Bebaneni tu, hakuna mkamilifu.
 
Kama huwa unampa tendo muda wowote anaotaka, uko sahihi kumhukumu;ila kama wakati mwingine huwa unavisingizio na humpatii tendo kwa wakati, nakushauri vumilia, maisha yaendelee.

Huku nje kuna wanawake wengi sana wanatamani waingie kwenye ndoa na hawazipati, sababu ndoa imekuwa faraja kwa wanawake wasio na kazi au wenye vipato vidogo.​
 
Hii kwa kiswahili ni ile tabia mtu anajikuta yeye ndio yeye,kusifiwa asifiwe yeye tu na hajali kwamba anawaumiza watu wengine wala nini yaani yeye akiwa okay basi imetosha nyie wengine mtajua wenyewe.

Mfano ni mume wa mtoa mada.
Duuuh,, Asante
 
Mvue joho hilo maana kwa jto hili lazima umuone kanuna tu muda wote halafu jingine usaliti unachangia ni kichaka hucho kufichia huo ujinga wake
 
Ndoa yenu ina muda gani?

Muliishi nuda gani kipindi cha uchumba wenu?

Umemzalia watoto?
 
Ni sahihi kabisa.

Ingawa wote wakiwa manguli NDOA itajifia peupeeee.

Kama ameshaongea zaidi ya mara moja na makosa ni yale yale, yanajirudia kila leo yeye ampuuzie tu, asimfuatilie chochote. Atimize tu majukumu yake kama mke, mume kama ana akili kuna siku atashtuka mwenyewe.

Uzuri ana akili ya kukumbuka kutumia NDOM.
 
Akiachwa utamuoa wewe...??
mwache abembeleze kinunanuna chake ndo raha ya mapenzi
 
Wewe dada wewe utavunja ndoa za watu kwa kamdomo kamdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…