Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Piga chini huyo akanunie wazazi wake huko kwao.
Anampenda ndio maana kamuoa sema it seems ana utoto mwingi, si ajabu ni last born, kazoea kudekezwa.Pole dear
Huyo hakupendi
Na huo ndo ukweli
Sasa hiyo itakuwa nyumba tena? 😂 kama mtu na mke mwenzake.Akinuna na ww nuna
Maana yake nini hii mkuu....Narccism❎
Narcissism✅
Me ukinuna nanuna mara 10Sasa hiyo itakuwa nyumba tena? 😂 kama mtu na mke mwenzake.
Kwani uliolewa na Malaika?Habari , Hope mko poa
Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?
Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?
Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Hii kwa kiswahili ni ile tabia mtu anajikuta yeye ndio yeye,kusifiwa asifiwe yeye tu na hajali kwamba anawaumiza watu wengine wala nini yaani yeye akiwa okay basi imetosha nyie wengine mtajua wenyewe.Maana yake nini hii mkuu....
Duuuh,, AsanteHii kwa kiswahili ni ile tabia mtu anajikuta yeye ndio yeye,kusifiwa asifiwe yeye tu na hajali kwamba anawaumiza watu wengine wala nini yaani yeye akiwa okay basi imetosha nyie wengine mtajua wenyewe.
Mfano ni mume wa mtoa mada.
Ndoa yenu ina muda gani?Habari , Hope mko poa
Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?
Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?
Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Ni sahihi kabisa.Acha kumuigizia,. Akikukosea mwambie ukweli amekosea na onyesha action kuwa umekereka na ajue kabisa umechukia,. Kwani akikununia wewe wapi huwa panakuuma?.
Achana na habari za udesperate eti amekosea yeye uombe msamaha wewe, hayo sio mahaba ni upumbavu.,.
Anyways ngoja waliioa na kuolewa waje wakupe muongozo
Akiachwa utamuoa wewe...??Acha kumuigizia,. Akikukosea mwambie ukweli amekosea na onyesha action kuwa umekereka na ajue kabisa umechukia,. Kwani akikununia wewe wapi huwa panakuuma?.
Achana na habari za udesperate eti amekosea yeye uombe msamaha wewe, hayo sio mahaba ni upumbavu.,.
Anyways ngoja waliioa na kuolewa waje wakupe muongozo
Wewe dada wewe utavunja ndoa za watu kwa kamdomo kamdomoAcha kumuigizia,. Akikukosea mwambie ukweli amekosea na onyesha action kuwa umekereka na ajue kabisa umechukia,. Kwani akikununia wewe wapi huwa panakuuma?.
Achana na habari za udesperate eti amekosea yeye uombe msamaha wewe, hayo sio mahaba ni upumbavu.,.
Anyways ngoja waliioa na kuolewa waje wakupe muongozo
Nimeacha😑Wewe dada wewe utavunja ndia za watu kwa kamdomo kamdomo