Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Dah hii mikasa kumbe sio mimi peke yangu,sina hata cha kukushauri mi pia mhanga
 
Mtuache ma lastborn hatujazoea kufanya makosa, sisi hata tukiiba mama zetu wanatubembeleza na kututetea
 
Habari , Hope mko poa

Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?

Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?

Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Km huna zaidi ya Mtoto 1, njoo PM tuyajenge, kashakuchoka huyo namin mimi
 
Acha kukaa kiboya wewe....sasa na wee sii ukapate mwanaume mwengine ugegedane nae. Yeye anagheda mpaka anasahau condom kwa gari aisee kakudharau.

Sasa dawa ya moto ni moto wee tafuta kidume uwe unapeana nae raha akinuna na wewe nuna. Asikuletee ujinga.
 
Usitupigie makelele sasa, kama umechoka si urudi kwenu au huna kwenu?
Kwa nyakat hizi mwanamke si chochote na hana thamani kwa mwanaume...
Endelea kupoteza muda hapo na forehead lako
Anyways karibu mtaani single maza mtarajiwa 😅 tukupelekee moto tukudampo utuite mbwa
 
Poleee mi wangu mdaa woote yupo busy na cm 24/7 ndoa bwana
Kuwa bussy na simu ni tatizo la ndoa nyingi sasa hivi. Na ukishaona mwenza wako yuko bussy na simu muda wote ujue kuna kitu. Nlikuwa na mwanamke wangu akilikuwa anapata simu muda wote utadhani ni customer care wa Voda. Mpaka inakera. Na meseji ndiyo kabisa. Hayo ma-group ya Whatsup....
 
Sio tu ananuna, ni mchafu na zmembe sana. Unaachaje kondom zilizotumika kwa gari? Huyo ndio chaguo lako usimchoke kaa nae mwambie Ukwli aache utoto anapokeea anaanz akujinunisha kama binti. mchane ile ukwlei inayouma kabisa ikibidi anune tena.
 
Ngumu sana kuishi na narcissist
Mimi naishi nae na amenyooka......dawa ni kumpotezea, yani ni no reaction.....kuna siku alisusa chakula akajua nitaumia, nilichofanya ni kwenda kuongeza nyama nikala chakula chote🤣🤣🤣 anajua alivyopambana na njaa ya usiku.

Dawa ya narcissist ni kuonyesha hakukeri, ukijifanya unamjali ndo anakuumiza.
 
Back
Top Bottom