Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

Atakukula na akimaliza cm mkononišŸ˜€
Na wewe shika simu yako.....afu badilisha pw asiijue.....akiwa busy na simu yake na kuwa busy na yako......nakuapia haumalizi mwezi ataweka kikao cha muongozo wa matumizi ya simu, anafanya kusudi kwa sababu anajua unaumia.
 
Back
Top Bottom