Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Jitahidi upate jina lake kwa usahihi upate kusaidika kwa haraka...Habari Wana familia
Ninashida na BIZONET (sina hakika kama nimepatia hiyo spelling )
Ila hutumika katika kusindika bidhaa mbali mbali kama juice,jam nk
Mara ya mwisho niliipata sido songea ila nimezunguka sido za dar nimekosa
Msaada ndugu zangu
Jamani msaada
Wasindikaji jitokezeni
Mkuu, hata nikipata yeyote inayofanya kazi kama hizo za kufanya bidhaa zisiharibike mapema nayo itanisaidiaJitahidi upate jina lake kwa usahihi upate kusaidika kwa haraka...
Ooh kumbe ni preservative, nadhani kuna wachina mitaa ya kariakoo sokoni wana hiyo kitu...nitakufanyia utafiti kesho jumatatuMkuu, hata nikipata yeyote anaweza inayofanya kazi kama hizo za kufanya bidhaa zisiharibike mapema
Thanks in advance.....muda WA swala huu kakaOoh kumbe ni preservative, nadhani kuna wachina mitaa ya kariakoo sokoni wana hiyo kitu...nitakufanyia utafiti kesho jumatatu
Naisikia adhana hapo jirani ila mimi najiandaa kwenda kanisaniThanks in advance.....muda WA swala huu kaka
Heshima kwako mkubwaNaisikia adhana hapo jirani ila mimi najiandaa kwenda kanisani
So sorry nilisahau kukupa mrejesho, walishatumbuliwa na bob ila kuna mhindi nimeambiwa yuko mitaa hiyo hiyo anauzaHeshima kwako mkubwa
Vipi ulikumbuka kuniulizia?
Jaribu kucheki maduka ya wajasiriamali unaweza pata, kama wanauza malighafi za kusindikia bila shaka preservatives zipo piaHeshima kwako mkubwa
Vipi ulikumbuka kuniulizia?
Mitaa ipi mkubwa?So sorry nilisahau kukupa mrejesho, walishatumbuliwa na bob ila kuna mhindi nimeambiwa yuko mitaa hiyo hiyo anauza
Dada asante kwa ushauri ......bado nimekosa wengi wanasema wanasindikia chumvu na bidhaa niitakayo haitaki chumviJaribu kucheki maduka ya wajasiriamali unaweza pata, kama wanauza malighafi za kusindikia bila shaka preservatives zipo pia
Kariakoo sokoni upande wa soko dogo la mboga mbogaMitaa ipi mkubwa?
Asante ......ntakwenda baadae then ntakuletea mrejeshoKariakoo sokoni upande wa soko dogo la mboga mboga