Msaada tutani; Natafuta mashine ya kusindika bidhaa

Msaada tutani; Natafuta mashine ya kusindika bidhaa

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,047
Habari Wana familia
Ninashida na BIZONET (sina hakika kama nimepatia hiyo spelling )
Ila hutumika katika kusindika bidhaa mbali mbali kama juice,jam nk
Mara ya mwisho niliipata sido songea ila nimezunguka sido za dar nimekosa

Msaada ndugu zangu
 
Jitahidi upate jina lake kwa usahihi upate kusaidika kwa haraka...
Jamani msaada

Wasindikaji jitokezeni
 
Mkuu, hata nikipata yeyote anaweza inayofanya kazi kama hizo za kufanya bidhaa zisiharibike mapema
Ooh kumbe ni preservative, nadhani kuna wachina mitaa ya kariakoo sokoni wana hiyo kitu...nitakufanyia utafiti kesho jumatatu
 
Jaribu kucheki maduka ya wajasiriamali unaweza pata, kama wanauza malighafi za kusindikia bila shaka preservatives zipo pia
Dada asante kwa ushauri ......bado nimekosa wengi wanasema wanasindikia chumvu na bidhaa niitakayo haitaki chumvi
 
Back
Top Bottom