Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wewe ni mkumbafff usituchoshe madokta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah nimecheka mwanzo mwisho mpaka naskia machozi ***** kuna watu mafala saana humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…
Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green kuliko uhalisia.
Mimi nkawa nashindwa kuconcentrate kwenye Tv moja, nikiangalia ya kulia, ya kushoto inantamanisha kama inaonesha vizuri., nikiangalia ya kushoti vice versa is true.
Kusolve hilo tatizo nikaamua niziangalie zote kwa wakati mmoja.
yani jicho la kulia liangalie tv ya kulia na jicho la kushoto liangalie tv ya kishoto.
Halafu ubongo ukawa unaziunganisha hizo image mbili kichwani kutengeneza picha iliyo standard.
Hili zoezi mwanzo lilikuwa gumu kama haliwezekani lakini ukijikaza sana utashangaa umeweza..jaribu kama Tv ziko mbili zinaonesha kitu kimoja ziwekwe mbele yako halafu ujaribu kuangalia katikati huku ukiconcentrate kwa kuibia ibia kila jicho kwenye TV zote. Mwishowe utaweza.
Back to the story, nilifanikiwa kuanzia dakika ya 20 mpaka mechi inaisha ninaangalia TV mbili kwa wakati mmoja.. Tena nilipoweza tu nikashindwa kabisa kuangalia moja tena maana lazima jicho lingine lingekuwa linataka kuangalia TV nyingine. Nikiangalia macho yote TV ya kushoto, lazima jicho la kulia lingeaza kuibia TV ya kulia ili niunganishe image.
Sasa mtiti unakuja hapa, Baada ya mechi kuisha kichwa kikawa kinaniuma sana, nikaenda kulala
Nilipoamka kujiangalia kwenye kioo nmejikuta nina makengeza…Yani macho yamechengana…Jicho la kulia kama linaangalia kulia mda wote na jicho la kushoto kama linaangalia kushoto mda wote.
Sasa hata kwenye maisha ya kawaida nimekuwa mtu wa kuangalia vitu vilivyo mbali mbali na kuviunganisha kama viko frame moja.
Inshort tayari nimekuwa makengeza.
JF Doctor, naombeni msaada
Naponaje hii hali?
Picha shenzi
Sio rahisi ivyo mkuuRudishia na Mkono unafeli wapi
3d glasses ndo zikoje mkuu?tafuta 3d glasses uvae.. ila uende ukapime kwanza macho hospitali
Dah yani nmekuwa kama kinyonga😂😂😂kwahiyo sahivi ukiambiwa uiangalie bahari ya Hindi macho unayaelekeza mlima Kilimanjaro ili uone vizuri
tafuta mtandaoni zipo nyingi sana.3d glasses ndo zikoje mkuu?
Jiniazi level thinking........ ebhana we ni hatari😆😂😂Halafu ubongo ukawa unaziunganisha hizo image mbili kichwani kutengeneza picha iliyo standard.
Dah asante sana mkuu nimefanikishaMkuu kwanini usianze zoezi lile lile la kuangalia kitu kimoja tu ili macho yarudi tena kuwa sawa, angalia tena tv sahivi uone itakuwaje
NimeponaUtakoma na utajua mwenyewe na hakuna dawa [emoji23][emoji28][emoji2][emoji2][emoji28][emoji1787]
Wenye makengeza wanaonaje kwan?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wenye makengeza hawana uoni huo, acha fix bhanaa wee.
Asante nimepona mkuutafuta mtandaoni zipo nyingi sana.