karume msaka
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 412
- 721
Gari yako Bado ipo yard mbona haina plate number!??Habari ndugu zangu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri kutokana na Hali iliyopo ya kimaisha kwa sasa nimeona niitumie gari yangu aina ya NOAH Ili kujiingizia kipato.
Lakini sifahamu nianzie wapi na niishie wapi hivyo naomba ndugu zangu kutokana na umbali/utofauti wa mikoa tunapotoka naombeni mnipe madili ili nije nipambane familia isilale njaa
Gari ina Hali nzuri na inafika mkoa wowote hapa tanzania.!
Kwa mwenye kunipa dili anaweza liweka hapa hadharani ama hata kunifuata inbox kwa maelekezo zaidi
Natanguliza shukrani.View attachment 2826354
Nzega au KahamaHabari ndugu zangu!

Mfanano mkuuGari ni hiyo kwenye picha?
Nipe maelekezo kwa kina mkuuN
Nzega au Kahama
Hoi ni picture kwa ajili ya kufananisha!!Gari yako Bado ipo yard mbona na Haina plate number!??
Nashukuru kwa mchango wako kiongoziJiandae kupakiza abiria waliobeba kuku,mbuzi na bata,baada ya mwaka ni mkweche ,
Mikoani hawatumii noah mpya mpya ,bali kuukuu na nyingi ni manual sio automatic.
Kila la kheri Tanzania kubwa watakuja wazururaji humu wa kupe muongozo zaidi
Basi sawa... Tusubiri watembezi waje kukuonesha wapi Kuna maokoto....Hoi ni picture kwa ajili ya kufananisha!!
Kama unavyoona kwenye picha hapo ndio muundo wa gari nililonalo
Mkuu, mimi nakwenda mkoa wowote kuanzia Morogoro na kisha mikoa mingine na si Dar.Mkuu,Mikoa ni Mingi ya Kwenda,Inategemea umelenga mkoa gani ila Usiende Dar,
Kuna mkoa niliendaga nikakuta noah ni Automatic, je gari itawahi kufa ama!Jiandae kupakiza abiria waliobeba kuku,mbuzi na bata,baada ya mwaka ni mkweche ,
Mikoani hawatumii noah mpya mpya ,bali kuukuu na nyingi ni manual sio automatic.
Kila la kheri Tanzania kubwa watakuja wazururaji humu wa kupe muongozo zaidi
Good kwani wewe upo Mkoa gani?Mkuu, mim nakwenda mkoa wowote kuanzia Morogoro na kisha mikoa mingine na si dar
Tabora mkuuGood kwani wewe upo Mkoa gani?
Yaah....japo ushindani ni mkubwa pande hzo + kujuana....ila ukiwa mpambanaji ukawapata wenyeji wazuri unafanya kazi vzuri.N
Nzega au Kahama
Kila la kheri kwani mimi ndie nimekuambia naanza ruti?Yaah....japo ushindani ni mkubwa pande hzo + kujuana....ila ukiwa mpambanaji ukawapata wenyeji wazuri unafanya kazi vzuri.
Ila root ndefu kama Nzega, Kahama, Shinyanga Nzega, Tabora Shinyanga.... Mara nyingi haice ndo hupiga hizo safari..
Kila la kheri mkuu
Kwaniaba mkuu....mfikishie karume msakaKila la kheri kwani mimi ndie nimekuambia naanza ruti?