Washauri na wale wakenya waliopo ofisini kwenu.mbooor ndo zinazoharibu papuchi kama hutoombwi huwezi kuwa na shida yoyote huo ndo ukweli dawa ya papuchi safi,mnato ni kuachana na wanaume ahakuna lingine .mimi ni shahidi
Plus apple cider vinegar nzuri kusafishiaSiyo maziwa... Mtindi ule super market... Tena mpaka flavour itakaa huko...
Hapo unaongelea PH scale , tambua kwenye papuchi kuna bacteria wanaopalinda , sasa wakibugudhiwa ndio inaanza biashara ya kutoa harufu (bando linakata a.k.a, linachacha) kutumia mtindi ni njia mojawapo ya kuweka wale bacteria katika hali Yake ya kawaida. Pia haishauriwi kutumia sabuni Kali maeneo hayo. Nanasi ni moja ya dawa nzuri kuondoa UTI sugu katika njia ya mkojo. Hasa ukizingatia via vya uzazi Wa mwanamke vipo karibu na kibofu.Nani anasema nyuchi inasumu?? Nijuavyo mimi kuna mkojo na acid...
Mtindi wa super market it helps mahondaw wangu...
Kitu ninacho mwenyewe ntakosaje kujua???umejuaje bibie?
Nitatoa dec 2017 Mungu Akipenda
Sijasema wewe unanuka nimesema wanawake mjifunze. Dah![/QUOT
Nitatoa dec 2017 Mungu Akipenda
Sijasema wewe unanuka nimesema wanawake mjifunze. Dah![/QUOT] anha
Wa kwa mangi haufai mkuu...!?Watumie mtindi pia... Ule wa super market.,.
Inawasaidia sana... Hata ladha ya nyuchi ita- test better na sweeter....
Cc: mahondaw
Kitu ninacho mwenyewe ntakosaje kujua???
Hapo unaongelea PH scale , tambua kwenye papuchi kuna bacteria wanaopalinda , sasa wakibugudhiwa ndio inaanza biashara ya kutoa harufu (bando linakata a.k.a, linachacha) kutumia mtindi ni njia mojawapo ya kuweka wale bacteria katika hali Yake ya kawaida. Pia haishauriwi kutumia sabuni Kali maeneo hayo. Nanasi ni moja ya dawa nzuri kuondoa UTI sugu katika njia ya mkojo. Hasa ukizingatia via vya uzazi Wa mwanamke vipo karibu na kibofu.
Upo sahihi kwenye mtindi ila mzuri zaidi ni ule wenyewe original wa madukani ni wa unga,Kama mangi anao ule design ya super market, unafaa... siyo ule wa kuchachisha maziwa bila kuuwekea vionja vyovyote vile...
cc: mahondaw
Upo sahihi kwenye mtindi ila mzuri zaidi ni ule wenyewe original wa madukani ni wa unga,
Wadada msiwe wabishi ushauri mzuri huu kwa bwana Smart uzingatieni.
Maziwa mtindi ni dawa kuubwa ya kukata harufu na yale mafungus after period, tena kama tatizo lako ni sugu unaweza kunywa na mengine ukapaka kwenye pedi ukavaa, ndani ya siku mbili wewe ni mpyaaaaaa kabisa.
Pia Juice ya nanasi ni poa,
Zoea pia kula punje za vitunguu saumu,
Hilo tatizo wala si kubwa sana kama watu wanavyolikuza ila ukizembea ni la kudhalilisha kupita maelezo.
Good luck.
Hii ya kumeza punje za vitunguu saumu naikubali sana.Upo sahihi kwenye mtindi ila mzuri zaidi ni ule wenyewe original wa madukani ni wa unga,
Wadada msiwe wabishi ushauri mzuri huu kwa bwana Smart uzingatieni.
Maziwa mtindi ni dawa kuubwa ya kukata harufu na yale mafungus after period, tena kama tatizo lako ni sugu unaweza kunywa na mengine ukapaka kwenye pedi ukavaa, ndani ya siku mbili wewe ni mpyaaaaaa kabisa.
Pia Juice ya nanasi ni poa,
Zoea pia kula punje za vitunguu saumu,
Hilo tatizo wala si kubwa sana kama watu wanavyolikuza ila ukizembea ni la kudhalilisha kupita maelezo.
Good luck.