evocom
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 258
- 236
kama utaweza lakini nyo kabisa safisha vizuri alfu chukua limau kata kila utokapo kuoga usipake mafuta bali paka maji limai kuzunguka k nzima kuwa makini maji yasiingie maana waweza pata muasho fanya kwa siku 5 then waweza tumia ni hiyo nanasi ila kwa siku tano izo angalia matokeo then leta jibu na pia inatibu fangasi wa aina zote