Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
Zote nzuriTuendelee sasa nzuri hapo ni ipi?
Hiyo ya maji bila shaka as itakuwa inakata kiu haraka...
Wanawake wenye mnato wengi wao wanakuwaga mabonge lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote nzuriTuendelee sasa nzuri hapo ni ipi?
Hiyo ya maji bila shaka as itakuwa inakata kiu haraka...
Bro kama mtu ana allergy na limao unamsaidiaje mbadala wake?!kama utaweza lakini nyo kabisa safisha vizuri alfu chukua limau kata kila utokapo kuoga usipake mafuta bali paka maji limai kuzunguka k nzima kuwa makini maji yasiingie maana waweza pata muasho fanya kwa siku 5 then waweza tumia ni hiyo nanasi ila kwa siku tano izo angalia matokeo then leta jibu na pia inatibu fangasi wa aina zote
Mmmh!Hakuna hiyo dawa
Du! Skujua JF kuna madoktaHapo unaongelea PH scale , tambua kwenye papuchi kuna bacteria wanaopalinda , sasa wakibugudhiwa ndio inaanza biashara ya kutoa harufu (bando linakata a.k.a, linachacha) kutumia mtindi ni njia mojawapo ya kuweka wale bacteria katika hali Yake ya kawaida. Pia haishauriwi kutumia sabuni Kali maeneo hayo. Nanasi ni moja ya dawa nzuri kuondoa UTI sugu katika njia ya mkojo. Hasa ukizingatia via vya uzazi Wa mwanamke vipo karibu na kibofu.
Awkay! Mtindi it is.. kwa wale wenye alergy ya mtindi je!Upo sahihi kwenye mtindi ila mzuri zaidi ni ule wenyewe original wa madukani ni wa unga,
Wadada msiwe wabishi ushauri mzuri huu kwa bwana Smart uzingatieni.
Maziwa mtindi ni dawa kuubwa ya kukata harufu na yale mafungus after period, tena kama tatizo lako ni sugu unaweza kunywa na mengine ukapaka kwenye pedi ukavaa, ndani ya siku mbili wewe ni mpyaaaaaa kabisa.
Pia Juice ya nanasi ni poa,
Zoea pia kula punje za vitunguu saumu,
Hilo tatizo wala si kubwa sana kama watu wanavyolikuza ila ukizembea ni la kudhalilisha kupita maelezo.
Good luck.
Kuwasaidia wanawake wote dunianiSawa sawa dr. Money penny ,Lakini kwanini umevujisha siri ya mteja?
Jaman sa mdomo si utanuka jamaa na vitunguu saumu vepeeHii ya kumeza punje za vitunguu saumu naikubali sana.
Ukijisikia unawashwa tu ukitumia vitunguu tatizo linaisha.
Hii ni mbadala badala ya kumeza dawa za hospitali mara kwa mara
Kama mnanuka someni tummh sisi under 18 ngoja tupite ivi dada ake
Mgagani ndiyo dawa kwa wanawake fuatilia ushuhuda hapa kwenye link
HahahahaKama mnanuka someni tu
Ahahahahahaha hapana banaaaa.........Kama wananuka, hata kama unri ni mdogo, wasome tu...Hahahaha
Kidicteta zaidi sio,!?
Watatumia nanasi au Vitunguu saum.Awkay! Mtindi it is.. kwa wale wenye alergy ya mtindi je!
kwenye tiba sidhani kama utawaza harufu, mbona dawa za Antibiotic zinaharufu kuanzia kwenye jasho hadi mkojo na watu wanatumia.Jaman sa mdomo si utanuka jamaa na vitunguu saumu vepee
Pia tiba ya vitunguu saumu hutafuni isipokua unameza zile punje kama pills, hivyo hakuna harufu itakayobaki mdomoni.Jaman sa mdomo si utanuka jamaa na vitunguu saumu vepee