Hello sweetieShoes at home, John at school
Yes babe, haya toa jibu hapo basiHello sweetie
A we mi nimekufata wewe..πYes babe, haya toa jibu hapo basi
Nimekuhamu pia, sana tu. Me niko poaA we mi nimekufata wewe..π
Nimekuhamu..π
Nataka nyama ya hamu..πNimekuhamu pia, sana tu. Me niko poa
Hahaa hiv unajua unaharibu uzi, na hauna hata jibu la swali aliloulizaNataka nyama ya hamu..π
He he! Baby usihofu hili ni jukwaa la jokes si twende na yetu my sweet girl wa huba ubani nyonga mkalia ini..Hahaa hiv unajua unaharibu uzi, na hauna hata jibu la swali alilouliza
ππππ kwahyo unataka hadi tufukuzweHe he! Baby usihofu hili ni jukwaa la jokes si twende na yetu my sweet girl wa huba ubani nyonga mkalia ini..
Mweka mada akichoka atatufukuza ila ajue hatapata jibuπ
Okay ngoja nijitahidi kujibu swali lake kisha tuendelee ila usicheke maana kidogo Hilo li lugha lilikuja kwa ndege!ππππ kwahyo unataka hadi tufukuzwe
Ila sio vzur kumfanyia mtu fujo nyumbani kwake
I luv u too
Sasa babe hyo peku imeingiaje hapo jamaniπOkay ngoja nijitahidi kujibu swali lake kisha tuendelee ila usicheke maana kidogo Hilo li lugha lilikuja kwa ndege!
Shoes stayed at home while john went to school peku.
Bila kuweka hilo neno peku nilikua naona sentence haijakamilika!!Sasa babe hyo peku imeingiaje hapo jamaniπ
Without Shoes, John went to school[emoji818]Mwenzenu huwa namshikia kidedea kijana wangu awe anajisomea kipindi hiki wako nyumbani. Sasa nimemuona leo kashika kitabu cha Kiingereza. Nilishakitazama hiki kitabu kina swali ambalo najua lazima atakuja kuniuliza, nami hakika sitoweza kulijibu. Swali liko hivi "John went to school without shoes. Rewrite this sentence starting with a word 'shoes'"...Msaada jamani kabla hajanifuata.