Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,139
- 842
Mwenzenu huwa namshikia kidedea kijana wangu awe anajisomea kipindi hiki wako nyumbani.
Sasa nimemuona leo kashika kitabu cha Kiingereza. Nilishakitazama hiki kitabu kina swali ambalo najua lazima atakuja kuniuliza, nami hakika sitoweza kulijibu.
Swali liko hivi "John went to school without shoes. Rewrite this sentence starting with a word 'shoes'"...Msaada jamani kabla hajanifuata.