Jalema
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 594
- 868
Naomba kuelimishwa kitu kimoja maana hali nitete kwa ndugu yangu na familia yake. Ni hivi wao wote wawili group lao la damu ni B+. Sasa mkewe amejifungua mtoto kapimwa damu Ana group O hii inawezekana mtoto kua blood group tofauti na wazazi wake au mama alimsaliti baba?