Msaada tutani wakuu

Msaada tutani wakuu

Joined
Jun 12, 2024
Posts
34
Reaction score
45
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada

Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake

Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao hata nilienae sasa. Na sasa ndio kazidi kuwa mzurii sana, nilikula mara 1 akanasa ujauzito ila Sielewii kama alitoa ama ulitoka.. tuligombana sana ukizingatia nilikuwa nahitaji mtoto nae na nilijua akinizalia tu anakuwa wangu daima hilo swala lilishindikana kwangu halina shida

Sasa wakuu huyu manzi hanaga msimamo sijui ni utoto ama laa ni sitaki nataka. Nime pambana sana mahusiano kurudi ila ugomvi hauishi.. sasa huu ni mwezi ni Kama penzi limekolea anainesha ushirikiano na nimeshakula mara ya pili katoto nimekakuta kapo kama hakajatumika, nimekesha nae siku 3 ndani tu mtoto mnato, mtamu zaidi ya mwanzo

Mimi huyu manzi nampenda na nataka awe wangu, sababu namfahamu hanaga mambo mengi au tabia mbaya mbaya sema ni msumbufu sumbufu tu,

Aaah shida moja nimeshaharibu huko nnje kuna ka binti kanadai kana mimba yangu hilo sina shida nae nitalea kama ni wangu ila nina wasiwasi na huyu manzi nilierudiana nae nikimwambia atanielewaje je ataniacha ama tutaendelea

Mwenye mimba yangu nilikuwa nae tu kwasababu niliachwa na huyu nikawa najipigia ila simkubali ni vile sikuwa na option

Sasa wakuu nipeni mbinu mlizotumia ku maintain situation kama hii
 
Braza wewe ni mpumbavu sana hivi una miaka mingapi?

Maana kwa akili hizi ilibidi uwe form nyoya!

Idiot
 
Daah! hata sijui niku shauri vipi maana.......anyway we live and we learn.
 
Mpenzi wako wa kweli ni huyo mwenye mimba yako sasa hivi. Tulia jenga famillia achana na vicheche hao
 
Punguza speed, Zima Turbo! Wanawake wanabadilika sana, kwanza kati ya hao wote uliowataja nikizingatia umri wako ni kwamba hakuna utakayemuoa! After 5 years utakua na mtu mwengine kabisa ambaye hata kumuwaza au kumuona hujawahi.
 
Apostle kuna shuhuda uku

Nini kimetokea

Kuna kijana anajidai kua na mapenz ya kwel kwa ex wake na kumuacha future wake na ana mimba yake....

huyu bwana aje mbele apa,,hao ndo
baadae wanaanza kuwasimanga single mothers.......
 
Hlf mkija huku mnapondea single mother kumbe ni wajinga kama hawa wanaopanga kuwatelekeza.
 
Hakuna cha mbinu yeyote usitushirikishe kwenye uzinzi wako we lea mtoto.
 
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada

Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake

Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao hata nilienae sasa. Na sasa ndio kazidi kuwa mzurii sana, nilikula mara 1 akanasa ujauzito ila Sielewii kama alitoa ama ulitoka.. tuligombana sana ukizingatia nilikuwa nahitaji mtoto nae na nilijua akinizalia tu anakuwa wangu daima hilo swala lilishindikana kwangu halina shida

Sasa wakuu huyu manzi hanaga msimamo sijui ni utoto ama laa ni sitaki nataka. Nime pambana sana mahusiano kurudi ila ugomvi hauishi.. sasa huu ni mwezi ni Kama penzi limekolea anainesha ushirikiano na nimeshakula mara ya pili katoto nimekakuta kapo kama hakajatumika, nimekesha nae siku 3 ndani tu mtoto mnato, mtamu zaidi ya mwanzo

Mimi huyu manzi nampenda na nataka awe wangu, sababu namfahamu hanaga mambo mengi au tabia mbaya mbaya sema ni msumbufu sumbufu tu,

Aaah shida moja nimeshaharibu huko nnje kuna ka binti kanadai kana mimba yangu hilo sina shida nae nitalea kama ni wangu ila nina wasiwasi na huyu manzi nilierudiana nae nikimwambia atanielewaje je ataniacha ama tutaendelea

Mwenye mimba yangu nilikuwa nae tu kwasababu niliachwa na huyu nikawa najipigia ila simkubali ni vile sikuwa na option

Sasa wakuu nipeni mbinu mlizotumia ku maintain situation kama hii
Hongera sana mkuu. Ungeunda kagroup ka whatsapp kako ukawaweka wote wawili uwaruhusu wajiintroduce halafu utoe kauli ya mwisho kama mwanaume. Manake wewe ndio kichwa cha hii sgr unayoendesha. Usisahau kutupa mrejesho.
 
Back
Top Bottom