Tougher JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 245 Reaction score 65 Apr 27, 2015 #1 Wakuu poleni na kazi, Nahitaji kusafirisha ng'ombe kutoka mbeya kuja Dar. Naomba kujua ninaweza kupata wapi usafiri ambao ni economical kusafirisha ng'ombe kama 10 hadi 15?
Wakuu poleni na kazi, Nahitaji kusafirisha ng'ombe kutoka mbeya kuja Dar. Naomba kujua ninaweza kupata wapi usafiri ambao ni economical kusafirisha ng'ombe kama 10 hadi 15?