Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Mbn mnatuogopesha kwa cc ambao tushanunua izo hisense inch 55 [emoji1787]
Jiandae mkuu..yaan hisence imekaa kifake fake sana [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn mnatuogopesha kwa cc ambao tushanunua izo hisense inch 55 [emoji1787]
Ninahisi comment #3 yupo sahihi kwa tatizo la Tv yako.Yangu nahisi ni OG... Niliinunua Zenji na jamaa wakanihakikishia kuwa ni yenyewe
Ila ya kwangu ni Uled hazijatokaa nyingi sanaa kama ayo matoleo mengineJiandae mkuu..yaan hisence imekaa kifake fake sana [emoji1787]
Ni juzi tu mkuu ata mwaka haujafika 😀 ila nimepewa warrant ya miaka 2 ya kwangu ni Uled 55Kama ulinunua 2020 kurudi nyuma tuendelee na burudani. Hapo tulipata kitu OG
Asante kwa ushauri kaka Mao. Ngoja nijipange nitafute fundiNinahisi comment #3 yupo sahihi kwa tatizo la Tv yako.
Mfumo wa hizi Tv kubwa, ndani kuna vitaa vinavyoonesha mwanga wa picha kwa idadi 8-10 inategemea na ukubwa na muundo wa Tv.
Hivyo vitaa vikiungua, image hazionekani, unakuwa ukisikia sauti tu.
Tena tatizo huanza kwa kupungua mwanga na kuonesha uhafifu wa picha na baadaye picha kutonekana kabisa.
Utapoieleka kwa fundi, atakachokifanya ni kununua spare za taa na kupachika, hapo si chini ya laki, maana sehemu zingine huuzwa hadi 20,000 kwa taa moja.
asanteh mkuuNunua TCL ndugu!
Nimemchunguza huyu jamaa nimejua ni mpuuxi fulani mwenye lengo la kuharibu soko la HISENSE ni wa kupuuzwa huyu kanunue hiyo Tv hutojutia kumbuka warrant na kutumia original cable.mi Nina mpango wa kununua 55nch nataka niende posta Kwa authorized dealer vip unanishaur vipi maana waliniambia 1:1m
Asanteh mkuu nashukuruNimemchunguza huyu jamaa nimejua ni mpuuxi fulani mwenye lengo la kuharibu soko la HISENSE ni wa kupuuzwa huyu kanunue hiyo Tv hutojutia kumbuka warrant na kutumia original cable.
Sio wa kupuuzwa, yangu nimeweka chini ya kitanda. Ilileta tatizo la michirizi ya mustari halafu baada ya muda haikuinyesha kitu, only white screen. Nilivyo Google tu kuhusu hiyo mistari, sikuonyeshwa Brand nyingine zaidi ya Hisense. Ina maana latizo kuu lipo kwao.Nimemchunguza huyu jamaa nimejua ni mpuuxi fulani mwenye lengo la kuharibu soko la HISENSE ni wa kupuuzwa huyu kanunue hiyo Tv hutojutia kumbuka warrant na kutumia original cable.
Sisi watu weusi tuna matatizo sana kwanza tunapenda vitu vya bei nafuu afu ustaarabu ni mdogo sasa kama Tv kwa nn uiweke chini ya kitanda ilifata nini huko na kwa nn yaan hamna sehemu zingine za kuiweka hadi iwe chini ya kitanda pia cable zenu huwa nashangaa sana mtu ananunua sabufa 150k na tv 450k lakini cable ya umeme ananua fake ya Tsh 5000 huyu mtu kweli yupo serious anashindwa nn kununua hata cable ya 13,000 OG alinde vifaa vyake.Sio wa kupuuzwa, yangu nimeweka chini ya kitanda. Ilileta tatizo la michirizi ya mustari halafu baada ya muda haikuinyesha kitu, only white screen. Nilivyo Google tu kuhusu hiyo mistari, sikuonyeshwa Brand nyingine zaidi ya Hisense. Ina maana latizo kuu lipo kwao.
Ndio store, yangu. Nimeiweka baada ya kuharibika. Chini ya kitanda ndio sehemu pekee inaeeza kuwa safe maana hakuna anaepita huko. Cable situmii natumia straight kwenye umeme,Sisi watu weusi tuna matatizo sana kwanza tunapenda vitu vya bei nafuu afu ustaarabu ni mdogo sasa kama Tv kwa nn uiweke chini ya kitanda ilifata nini huko na kwa nn yaan hamna sehemu zingine za kuiweka hadi iwe chini ya kitanda pia cable zenu huwa nashangaa sana mtu ananunua sabufa 150k na tv 450k lakini cable ya umeme ananua fake ya Tsh 5000 huyu mtu kweli yupo serious anashindwa nn kununua hata cable ya 13,000 OG alinde vifaa vyake.