AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 722
- 2,123
Kwa TV hiyo ya 55 sidhani kama screen yake imeungwa na circuits yake direct.. Hivyo bei ya kioo sio kubwa hivyo.
Ingekuwa 43 au 50 hapo sawa.
Kioo chake haizidi laki 3. Ila upate fundi mzuri.. Nenda kwa wanaouza hizo TV used. Utasaidika... Kama una connection Zenji ndio safi zaidi. Kule kuna mafundi Wazuri ambao angalau wana uaminifu na gharama ziko chini.