tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Mim sio daktar bt nishawah kuwa na tatizo km hilo ila nilikuwa nakunywa sana maji so unywe sana maji
bila dawa mkuu?
Nilikunywa dawa nyingi sana nikachoka nikaacha nikawa nakunywa maji mengi tu mpaka saiv mwaka wa pili cjawah kuugua typhoid wala malaria
Maji mengi kiasi gani.kwa siku Lita ngapi
naomba unisaidie content ya hiyo dawa ya asili ndugu yangu
Pole mtoa mada...
hapo mkuu kuna ishu mbili. kwanza pengine dawa zinadunda cipro sikuhizi inadunda kwenye kutibu typhoid jaribu azithromycin. pili kuna watu wanakuwa ni chronic carriers. watu hawa huwa na wadudu wa typhoid mwililini mwao hasa kwenye mfuko wa nyongo. watu hawa mara nyingi huwa hawana dalili za ugonjwa ila huweza kusambazia wengine. sasa fikiria chronic carrier awe ni mke wako au mamantilie unakokulaga!?.Wadau habar zenu!!
Toka huu mwaka umeanza nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid mara kwa mara, nimetumia dawa aina tofauti tofauti mara chache napona na inajirudia tena pamoja na kufuata kanuni zote za usafi!
Mara ya mwisho nimepima wiki mbili zilizopita na nikikutwa nayo, nikapewa cipro ninywe kwa siku kumi, dozi nimemaliza Jumapili lakini hakuna mabadiliko yeyote, leo nimepima nimekutwa tena na hao wadudu wa typhoid!
Wadau naomba mwenye kujua tiba sahihi na ya kudumu kwa huu ugonjwa!
Natanguliza shukrani!!