Msaada! Ubora & changamoto za Raum vs Spacio

Msaada! Ubora & changamoto za Raum vs Spacio

Hiyo raum body yake inachoka mapema sana...kama unaitumia kwenye rough road.

Nina watu wawili nawafahamu, tunaishi nao Dar wote walinunua magari hayo ndani ya kipindi karibia sawa (2015) mmoja Spacio Nyeusi na Raum Blue mpauko, (wote sio old model ni hizi 2006/8) na waliagiza nje.

Hadi tunavyoongea wote still wanazo. Spacio bado inavutia kwa nje, body bado inadai.

Raum mlango ule wa kuslide umekufa, pia body yake naona kama imelegea legea maungio ya sehemu moja na nyingine yametanuka sana.

Sijui ni utunzaji au barabara ila kweli ulivosema kwenye issue ya body Spacio anajitahidi zaidi ya Raum. Nisichopenda kwa Spacio ni size ndefu sana.
 
Raum ugonjwa wake hasa ni mlango na master switch ya vio
 
Kitu cha Kwanza ili chombo chako kidumu ni utunzaji Tu hata kama gari yako itakuwa ngumu kama treni bila matunzo ni kazi bure.
Tukiachana na mambo ya service chukulia mfano gari zetu tunazoendesha mitaa ya huku ushenzini kama kimara- bonyokwa,madale, mivumoni, Kinyerezi,goba, Msongola na Ukonga mazizini alafu fananisha na Magari ya wahindi huku upanga na Kariakoo utapata jibu.

Miundo mbinu yetu ni mibovu Sana kilasiku tutakosoa Magari yetu lkn tujiulize tunaishi mitaa gani?
 
Magari ya watu wala sio mabaya hata kidogo, ila miundombinu yetu no mibovu kupitiliza. Hata gari owe nzuri na ngumu vipi, Kwa hizi barabara zetu za nje ya mji ni ngumu sana kuwa nayo 5yrs na gari kubaki intact.
 
Back
Top Bottom