Msaada: Ubora wa magari ya Be Forward

Msaada: Ubora wa magari ya Be Forward

Mimi nilinunua gari be forward, watu walinitisha hao watu magari yao yamechoka, ila nilipata gari nzuri sana, tangu nimenunua ni miaka miwili sijanunua tairi wala kifaa chochote na gari ipo vizuri, ninasafiri nayo ndani na nje ya nchi. pia wanaosema hakuna kubagain si kweli mimi niliwapigia simu na tulibagain na walinipunguzia. msisitizo ni wewe kuwa mjanja kuliangalia gari pande zote.
 
Back
Top Bottom