Msaada: UDSM MBA

Temporary01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2011
Posts
260
Reaction score
70
Habari wadau, naomba kwa yeyote aliyesoma MBA udsm au chuo kingine
chochote anisaidie material za kozi zifuatazo:

>Quantitative Methods
>Organization Theory and Management
>Managerial Economics

Kama ana slide ,kitabu au doc yoyote ya pdf nitashukuru.
Email yangu ni udsmmba13@gmail.com.
 
dah, mzee taiz hilo tujue unasoma MBA!!!!!! ha ha haaaaaaaa. kazi kwelikweli. mbona materials unasearch hata kwenye mitandao kibao na unapata, sio hiyo peke yake hata ukitaka lectures kwenye u tube za vyuo kibao duniani unavipata? au uvivu wa kutafuta mpaka upewe. hiyo MBA yako sijui kama utaieweza la sivyo utapata kama zile za kina Mwigulu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…