MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

Lafacha

Senior Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
195
Reaction score
275
naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound.

IMG-20221230-WA0004.jpg

SASISHA (updates):-

Namshukuru ALLAH leo tarehe 02 januari 2023 mimi pamoja na familia yangu tumebarikiwa watoto wawili wote wa KIKE.

njia iliyotumika kujifungua ni njia ya kawaida.

Nawashukuruni nyote.

MBARIKIWE.
 
Apo una mapacha,wa kwanza huyo katanguliza makalio, wa pili yupo kawaida, (katanguliza kichwa)makaridio tarehe ya kujifungua 11.1.2023, wa kwnza ana 3.6kg wa pili3.4kg Ila kwa ushauri nenda hosptal kwa maelekezo zaidi na msaada maana apa ata ukiambiwa uwezi kufanya chochote. Asante
 
Ubarikiwe mkuu.
 
Shukrani mzee. Kuna madhara yoyote kwa uyu alietanguliza makalio?

Vipi na uo uzito ni wa kawaida au uko chini ya kiwango?
Mkuu inategemea ila ili kufanyiwa assesment vizuri kama anaweza kujifungua kawaida au otherwise ni vizuri uende hosptal, siwezi kukupa jibu apa maana unaweza kwenda uambiwe vinginevyo uone hawapo sawa. Kwa uzito huyo wa kwanza anazidi kdgo maana mtoto mkubwa anaanza 3.5kg ila ni uzito mzuri hawa auna shida
 
asant kwa msaada mzee.
 
PPac
naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound.

View attachment 2463758
Pacha wa kwanza hajatanguliza ndo maana ya bleech ina maana atatoka akiwa katanguliza matako then pacha wa pili ndo atatoka kwa kichwa ambayo ni cephalic afu EDD ni expected date of delivery ndo iyo apo imeandikwa apo kwa hospital na wataalamu wa sasa lzma uingie theatre coz mtoto wa kwnz katanguliza matako ina maana baada ya apo kitafata kitovu kitu ambacho ni hatari kwa usalama wako jiandae mapema kujifungulia kwenye hosptl quality
 
Back
Top Bottom