Lafacha
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 195
- 275
- Thread starter
- #21
Asant kwa ushauri mkuuPPac
Pacha wa kwanza hajatanguliza ndo maana ya bleech ina maana atatoka akiwa katanguliza matako then pacha wa pili ndo atatoka kwa kichwa ambayo ni cephalic afu EDD ni expected date of delivery ndo iyo apo imeandikwa apo kwa hospital na wataalamu wa sasa lzma uingie theatre coz mtoto wa kwnz katanguliza matako ina maana baada ya apo kitafata kitovu kitu ambacho ni hatari kwa usalama wako jiandae mapema kujifungulia kwenye hosptl quality