Humu wengi sio madaktari ungesema umekutwa na nini in General tungeweza kuongezea na ushauri wetunaombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound
Uzito uko kawaida... kuanzia 2.8kg mtoto anazaliiwa yupo vizuriShukrani mzee. Kuna madhara yoyote kwa uyu alietanguliza makalio?
Vipi na uo uzito ni wa kawaida au uko chini ya kiwango?
Ubarikiwe mkuu.Apo una mapacha,wa kwanza huyo katanguliza makalio, wa pili yupo kawaida, (katanguliza kichwa)makaridio tarehe ya kujifungua 11.1.2023, wa kwnza ana 3.6kg wa pili3.4kg Ila kwa ushauri nenda hosptal kwa maelekezo zaidi na msaada maana apa ata ukiambiwa uwezi kufanya chochote. Asante
Mkuu inategemea ila ili kufanyiwa assesment vizuri kama anaweza kujifungua kawaida au otherwise ni vizuri uende hosptal, siwezi kukupa jibu apa maana unaweza kwenda uambiwe vinginevyo uone hawapo sawa. Kwa uzito huyo wa kwanza anazidi kdgo maana mtoto mkubwa anaanza 3.5kg ila ni uzito mzuri hawa auna shidaShukrani mzee. Kuna madhara yoyote kwa uyu alietanguliza makalio?
Vipi na uo uzito ni wa kawaida au uko chini ya kiwango?
asant kwa msaada mzee.Mkuu inategemea ila ili kufanyiwa assesment vizuri kama anaweza kujifungua kawaida au otherwise ni vizuri uende hosptal, siwezi kukupa jibu apa maana unaweza kwenda uambiwe vinginevyo uone hawapo sawa. Kwa uzito huyo wa kwanza anazidi kdgo maana mtoto mkubwa anaanza 3.5kg ila ni uzito mzuri hawa auna shida
Pacha wa kwanza hajatanguliza ndo maana ya bleech ina maana atatoka akiwa katanguliza matako then pacha wa pili ndo atatoka kwa kichwa ambayo ni cephalic afu EDD ni expected date of delivery ndo iyo apo imeandikwa apo kwa hospital na wataalamu wa sasa lzma uingie theatre coz mtoto wa kwnz katanguliza matako ina maana baada ya apo kitafata kitovu kitu ambacho ni hatari kwa usalama wako jiandae mapema kujifungulia kwenye hosptl quality
Sema nikama huaminiamini ila ndo ivoo nikweli mkuu,naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound.
Soon utafrahia ,
Sema nikama huaminiamini ila ndo ivoo nikweli mkuu,naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound.
Soon utafrahia ,
Sema nikama huaminiamini ila ndo ivoo nikweli mkuu,naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound.
Soon utafrahia ,