MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

Asant kwa ushauri mkuu
 
Nenda au mpeleke hospital, watoto wana Oligohydroamnion.
Means ile fluid ambayo watoto wanaelea, ni chache. Hili ni tatizo.

Kwa mapacha mmoja kuwa breech, ni kawaida wakunga huwa wanazalisha tuu.
Tatizo ni hiyo inadequate A.F

Pia USS result zake zina mapungufu kadhaa hajaestimate kiwango cha amniotic fluid.

Nenda hospitali madaktari watashauriana na wewe ku induce labour au CS.
 
ASant kwa ushauri mkuu. Ubarikiwe mno
 
Hapo kila kitu kipo sawa mkuu tatizo ni hiyo adequate Amniotic fluids ndio iko chache najua ulipopima walikupa maelekezo nn na kipi ufanye
 
Kwa kuongezea tu yale maji yaliyowazunguka watoto ni machache (oligohydramnios) muhimu kufika mapema hospital.
 
Mngefanya Cs tu tena ya mapema haina haja ya kusubiri uchungu, uzazi wa siku hizi ni shida na risk sana walau Cs inakupa usalama zaidi.
 
1. Mapacha wawili wenye wiki 38
2. Kila pacha ana kondo lake la uzazi.
3. Maji kwenye kila kondo na mfuko wake ni pungufu.

Kwa wiki hizo atajifungua hivi karibuni.

Operation itarahisha, maana kuna mmoja hapo katanguliza makalio badala ya kichwa.
 
1. Mapacha wawili wenye wiki 38
2. Kila pacha ana kondo lake la uzazi.
3. Maji kwenye kila kondo na mfuko wake ni pungufu.

Kwa wiki hizo atajifungua hivi karibuni.

Operation itarahisha, maana kuna mmoja hapo katanguliza makalio badala ya kichwa.
Shukran mkuu. Jumatatu tunaenda clinic ntaongea na daktar kuhusu ilo
 
Hongera kuwa na mapacha lakini kuna uwezekano wa kufanyiwa c section
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…