Msaada: Ufafanuzi wa TCU guide book

Joined
Feb 14, 2022
Posts
62
Reaction score
95
Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024.

Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele πŸ‘‡πŸ‘‡ maana nimesoma sielewi.

Natanguliza shukran za dhati πŸ™πŸ™

 
Mwaka 2014 na 2015 palibadilishwa grades za ufaulu kwenye masomo tofauti na ilivyokuwa mwaka 2013 kurudi nyuma na 2016 hadi sasa, ndiyo maana wametenganisha hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…