Tanzania ina madini mengi na ya dhamani kama: Ruby, saphire, emarald, diamond, alexandrite, Tanzanite, etc
bei ya madini inategemea na :hardness, size, colour, clearity, na kama yamekatwa na aina ya mkato e.g. brilliant, cushion, oval, table cut etc. Madini yenye bei kubwa kwa Tanzania ni Diamond ikifuatiwa na ruby, emarald, saphire, alexandrite na Tanzanite.
NB. Ruby zipo za aina tatu: red, rose na pink ruby. red ruby ndiyo ya ghali zaidi.
nenda semiki utajua yote.
Bei za Ruby : Ruby zote zisizopitisha mwanga (cabochon), ruby nuts, Ruby in Zoisite, Tsavorite etc bei inaanzia dola 10 mpaka dola 500 kwa gram. Ruby yenye kuona, haina chenga, rangi nzuri (pigeon blood ) imekatwa au bado bei inaanzia dola 5,000 mpaka 25,000 kwa jiwe lisiozidi karati mbili. Kwa rough bei inaanzia $ 25000 kwa gram. Bei halisi inategemea na shape ya jiwe, colour, clearity na grade. Wewe una Ruby za aina gani?Geof unaweza kufunguka kidogo kwa bei kwa ujumla wake kama sio siri Ruby kwa kila gram 1
Bei za Ruby : Ruby zote zisizopitisha mwanga (cabochon), ruby nuts, Ruby in Zoisite, Tsavorite etc bei inaanzia dola 10 mpaka dola 500 kwa gram. Ruby yenye kuona, haina chenga, rangi nzuri (pigeon blood ) imekatwa au bado bei inaanzia dola 5,000 mpaka 25,000 kwa jiwe lisiozidi karati mbili. Kwa rough bei inaanzia $ 25000 kwa gram. Bei halisi inategemea na shape ya jiwe, colour, clearity na grade. Wewe una Ruby za aina gani?
sawa mkuu ila nimeandika :Ruby in ZoisiteTanzanite = Zoisite.
sawa mkuu ila nimeandika :Ruby in Zoisite
madini yenye thamani kupita yote duniani ni RED GARNETTE.TANZANIA YANAPATIKANA.BEI YA RUBBY SIJUI.MADUKA YA KUNUNUA YAKO KWA WINGI ZAIDI ARUSHA.KAMA UNA RUBBY SERIOUS NI PMHi!
ndugu wana jamvi hili
Naomba nitoeni kwenye kashimo haka, hivi ni madini gani Duniani yenye gharama kubwa
Ni madini gani yana bei kubwa yanayopatikana Tanzania
Madini aina ya Ruby ni madini ya aina gani na je ghalama yake ikoje kwa gram moja?
Msisahu kuniambia wapi kwa Dar maduka ya kununua madini?
Tanzanite = Zoisite.
gold kumbe iko nyuma tu eheee
kwa kweri mimi ni mgeni sana katika upandee huu wa madini lakin kwa waloniambia ni red RubyBei za Ruby : Ruby zote zisizopitisha mwanga (cabochon), ruby nuts, Ruby in Zoisite, Tsavorite etc bei inaanzia dola 10 mpaka dola 500 kwa gram. Ruby yenye kuona, haina chenga, rangi nzuri (pigeon blood ) imekatwa au bado bei inaanzia dola 5,000 mpaka 25,000 kwa jiwe lisiozidi karati mbili. Kwa rough bei inaanzia $ 25000 kwa gram. Bei halisi inategemea na shape ya jiwe, colour, clearity na grade. Wewe una Ruby za aina gani?
Piga picha hiyo ruby yako (Jaribu kupiga picha nyingi ili kuonyesha size, colour, clearity, shape etc) halafu mimi kwa kutumia hizo picha nitakupa kisio la bei yake. Bei halisi ya madini yoyote ni lazima mtu ayaone, na kuya-grade kutegemea na vigezo kama nilivyoainisha hapo juu. sababu ni kwamba ruby inafanana sana na spinel-ambayo bei yake iko chini, pia wengine wanauza pink saphire au fake ruby (synthetic ruby) kama natural ruby. Zote hizo zina hardness sawa baliTofauti ya natural ruby na spinel na au synthetic ruby ni density.kwa kweri mimi ni mgeni sana katika upandee huu wa madini lakin kwa waloniambia ni red Ruby
madini yenye thamani kupita yote duniani ni RED GARNETTE.TANZANIA YANAPATIKANA.BEI YA RUBBY SIJUI.MADUKA YA KUNUNUA YAKO KWA WINGI ZAIDI ARUSHA.KAMA UNA RUBBY SERIOUS NI PM
Red garnet ipi hiyo mzee? Red garnet ninayoijua mimi kwa jina jingine inaitwa "Almandite" ndugu yake na Pyrope bei yake iko chini sana, na unaweza ukauziwa kilo 1 kwa bei ndogo sana-hata million 4 haifiki. Angalau Rose/Pink garnet in bei lakini bado siyo ya kutishamadini yenye thamani kupita yote duniani ni RED GARNETTE.TANZANIA YANAPATIKANA.BEI YA RUBBY SIJUI.MADUKA YA KUNUNUA YAKO KWA WINGI ZAIDI ARUSHA.KAMA UNA RUBBY SERIOUS NI PM
madini yenye thamani kupita yote duniani ni RED GARNETTE.TANZANIA YANAPATIKANA.BEI YA RUBBY SIJUI.MADUKA YA KUNUNUA YAKO KWA WINGI ZAIDI ARUSHA.KAMA UNA RUBBY SERIOUS NI PM