Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
acha masihara mkuu!kilo!mkuu sio kweli kuwa red garnet ndio ina bei kuliko gemstone zote, green garnet iko juu mara nyingi sana ya hiyo red garnet,,,,,,,,,,, hizo red garnet ziko nyingi sana kule ruangwa-lindi na zinauzwa kwa kilo tu
