Msaada: Ufahamu kuhusu madini


Naingia rasmi kwenye hii biashara, wacha nikalie au nikacheke kuliko kumtegemea Bwanayule naona hana habari na watumishi kabisa!!
 
Hakuna aliyejibu hii toka 2013, so sad!!
 
Muamko Mdogo ila naamin ni kwenye kutufuta knowledge , kama kweli unalengo pia na nia.
 
Biashara ya madini ime collapse sahv Big time
Ningekumwagia nondo lkn sioni sababu ya kuzungumzia kitu ambacho kwa sasa serikali imebana vitu fulani mpaka kufanya ufanyaji wa kazi hii kuwa Ngumu.....
Kwa wale wenzangu...[HASHTAG]#the[/HASHTAG] Only...[HASHTAG]#ruby[/HASHTAG] morogoro....watakuwa wamenielewa

Ova
 
Kweli mkk hali ngumu inabid iwe ivo ili tusipigwe kizembe zembe na wajuaj, Hapo Moro watu wajuaj wanapatolea macho asaiv nasikia kumetema Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…