Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia ya kuwa sheria ya kislam yasema mali mwagawana nusu kwa nusu ninani huyo
kwa hizo sheria za kiislam aisee ni pagumu hata mkae miaka 20 hamgawani unapewa kiasi chochote chakuanzia maisha alichonacho mwanaume wakati huo!
hivyo wanawake wa kiislam ishini na waume zenu kwa mujibu wa dini hata kama una kipato maana ukijifanya kuchangia maendeleo nusu kwa nusu salama yako ndoa isivunjike , ikivunjika huna chako.
ila quran imeeleza mwanaume ni wajibu wake kukuvisha,kukulisha & mahitaji mengine. ( ni lazima sio hiari) ukijitia kujenga naye unalo maana hata mahakaman utaulizwa juu ya sheria za dini
Wakuu naomba kuuliza, Ikitokea mwanaume kaoa mke ndoa ya kiislam wakaishi takribani miezi 9, wakaamua kuachana, Je mali zitagawanya nusu kwa nusu?
Ikumbukwe mwanamke kazikuta mali zote.