paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 588
Hospital anayotibiwa ni NSK hospital bora kabisa naya gharama haswaAisee pole sana I feel a pain,nimempoteza mama mkwe Kwa changamoto inayofanana na hiyo..
Mpeleke hospital kubwa haraka iwezekanavyo.
Katibiwa AICC Arusha,NSK,Kcmc tunachoshukuru majibu yanafana hospital hizo zote dahAisee pole sana I feel a pain,nimempoteza mama mkwe Kwa changamoto inayofanana na hiyo..
Mpeleke hospital kubwa haraka iwezekanavyo.
Unaijua hospitali bora? Gharama sio ubora wa huduma. Kinachofanya hospitali iwe bora ni huduma zitolewazo je wamemwambia achukue hatua gani? Au ndio hospitali bora jina tuHospital anayotibiwa ni NSK hospital bora kabisa naya gharama haswa
Pole Sana mkuu mnaweza kujaribu pia hosptali nyinginge maana usitazame tu ukubwa wa hosptali ila huuduma na wataalamu hivyo ikiwa yupo Sehemu moja ila hajapata matibabu sahihi anaweza kubadilisha hosptaliKuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyo pita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospital anaingezewa damu lakini siku iyoiyo inakeisha tena na madaktari wamempima kila kitu haonekani na tatizo lolote sasa kwann damu inakauka tu??
Safi kabisa. Aongeze na Juice ya beetroots.Kuna kiumbe kinanyonya RBC zake nini sio upungufu wa Madini chuma kweli?
Sababu za upungufu wa damu mwilini:-
1. Upungufu wa madini ya chuma mwilini
2. Upungufu wa vitamini A na B-12 mwilini
3. Maradhi kama HIV, UKIMWI, saratani, mardhi ya figo haya huweza kuleta upungufu wa damu
4. Mfumo wa kinga mwilini kuuwa na kuharibu seli hai nyekundu (autoimmune)
5. Uharibifu wa seli hai nyekundu kufanyika kwa haraka kuliko utengenezwaji.
6. Kuwa na maradhi ya sickle cell anemia
Kazi za damu mwilini:-
1. Kusafirisha viinilishe kutoka katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kwenda maeneo mbalimbali ya mwili.
2. Kusafirisha hewa ya oksijeni kutoka kwenye mapafu kwenda maeneo mengine ya mwli.
3. Kusafirisha hewa ya kabonikaiyoksaidi kutoka kwenye seli na kupeleka kwenye mapafu kwa ajili ya kutolewa nje
4. Kudhibiti joto la mwili kwa kulipooza inapohitajika na kuliongeza inapohitajika
5. Kusafirisha homoni kwenda maeneo mbalimbali ya mwili.
Vyakula vya kuongeza damu mwilini:-
1.Nyama nyekundu kama nyama ya ng’ombe, mbuzi na Kondoo
2.Maini
3.Nyama ya figo
4.Mboga za rangi ya kijani kama mchicha na spinachi
5.Maharagwe
6.Kunde
7.Mayai
8.Nafaka nyinginezo
9.Njegere
10.Korosho na karanga
11.Samaki
12.Nyama ya ndege
13.Karoti
14.Matikiti
15.Zabibu
16.Viazi vitamu
17.Matunda yenye uchachu kama machungwa, ndimu na limao.
18.Polipili nyekundu
Very true, wajaribu kuzingatia lishe lishe pia ni tibaSafi kabisa. Aongeze na Juice ya beetroots.
Watu wengi wanapougua wanakimbilia kutumia dawa kwa wingi lakini wanasahau umuhimu wa lishe katika kutibu maradhi. Possibly anaweza kuwa na Iron deficiency anaemia
Ingekuwa ni bora Zaidi kama tungeona Majibu ya hospitali tungejua Jinsi ya kushauri Vinginevyo Sidhani kama kuna ushauri unaweza kuendana na MgonjwaKatibiwa AICC Arusha,NSK,Kcmc tunachoshukuru majibu yanafana hospital hizo zote dah
Jamaa amesema wamekwenda hospitali zaidi ya 5 na kote wanapata jibu lilelile, maana yake ni kuwa, wameambiwa ana tatizo gani, sio kukisia tena.Safi kabisa. Aongeze na Juice ya beetroots.
Watu wengi wanapougua wanakimbilia kutumia dawa kwa wingi lakini wanasahau umuhimu wa lishe katika kutibu maradhi. Possibly anaweza kuwa na Iron deficiency anaemia