Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Ni kweli mkuu... Yaani mbuzi akiugua ugonjwa huu sijawahi kuona apone. Vipi kuhusu chanjo au kinga yake?Mackmambo said:Hou ni heart desease ukiona hivyo kupona ni mara chache kaka
Mshauri atafute Daktari wa mifugo sio atafute dawaUgonjwa ni heart water kwa dalili hiyo japo kuna nyingne tofauti japo iyo ni kubwa,
Dawa tafuta antibiotics like tetracycline, ant inflammatory eg dexa na laxer....cha muhimu ni kupambana na kupe kwa sana...kwa maelezo zaidi mtafute mtaalam Wa mifugo kwa ushauri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho nimemwambia atafute daktari,Mshauri atafute Daktari wa mifugo sio atafute dawa
Asante sana sande nicolaus
Kwa hiyo huu ugonjwa unasababishwa na kupe? Dalili zake zingine ni zipi? Kinga yake ni nini? Maana nimekuwa natumia hyo tetracycline lakin haisaidii... Yaan akipata hzo dalili za kuzunguka haponi tena japo natibu kwa hyo dawa. Sehemu sahih ya kumchoma sindano ni ipi?
Fanya haraka sanaUgonjwa ni heart water kwa dalili hiyo japo kuna nyingne tofauti japo iyo ni kubwa,
Dawa tafuta antibiotics like tetracycline, ant inflammatory eg dexa na laxer....cha muhimu ni kupambana na kupe kwa sana...kwa maelezo zaidi mtafute mtaalam Wa mifugo kwa ushauri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana ndugu umefafanua vyema, wengi tunaujua ni kichaa cha mbuzi na nakumbuka hauna tiba labda madaktari wa mifugo waje watusaidie.Kupona inakuwa ngumu sana kwa sababu moyo unakuwa na maji na pia kuna kuwa uvimbe kwenye tezi,kwaiyo unapotumia tetracycline pekee utatibu vidudu tu vya ugonjwa lakn kuna maji kwenye moyo na hayo mauvimbe unakuwa umeyaacha na ndio yanayomuua mnyama.....kinga ni kuwaogesha tu ili kuua kupe coz ndio causative agent... Kupe anamagonjwa mengi sana kwa mnyama na yote ni hatari sana cha muhimu mtafute Dr naamini utapata ushauri mzuri na mengne mengi katika ufugaji wako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wengi tunafuga au tunataka kufuga Mbuzi ningekuomba kama hautojali kwa manufaa yetu sote kidogo ungetusaidia kutuelemisha juu ya hayo uliyo elekwezwa huko SUA maana wengine tupo nnje ya mororgoro.Ushauri wangu kabla ya yote nakushauri uende na mnyama pale sua kitengo cha tafiti wamchunguze kwanza ndo nadhani utapata majibu ya uhakika huo uonjwa wa kuzunguka kwa mwaka 2019 ndo nadhan ugonjwa uliosumbua mbuzi sana hata kwangu nimepata hilo tatizo sana ila nikampeleka mnyama sua nilipata usaidizi wa hali ya juu maelezo ni mengi sana so nakushauri nenda na mnyama ambaye kasha asirika teyar kamfanyie uchunguz ili upewe matokeo ya hlo tatizo
Au aende duka la kilimo na mifugo (VET) lililokaribu.Ugonjwa ni heart water kwa dalili hiyo japo kuna nyingne tofauti japo iyo ni kubwa,
Dawa tafuta antibiotics like tetracycline, ant inflammatory eg dexa na laxer....cha muhimu ni kupambana na kupe kwa sana...kwa maelezo zaidi mtafute mtaalam Wa mifugo kwa ushauri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kabla ya yote nakushauri uende na mnyama pale sua kitengo cha tafiti wamchunguze kwanza ndo nadhani utapata majibu ya uhakika huo uonjwa wa kuzunguka kwa mwaka 2019 ndo nadhan ugonjwa uliosumbua mbuzi sana hata kwangu nimepata hilo tatizo sana ila nikampeleka mnyama sua nilipata usaidizi wa hali ya juu maelezo ni mengi sana so nakushauri nenda na mnyama ambaye kasha asirika teyar kamfanyie uchunguz ili upewe matokeo ya hlo tatizo