Msaada ugonjwa wa tambazi tafadhali.

sabufa

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Tafadhali naomba kuuliza swali na nitafurahi kupata majibu mazuri.Ugonjwa wa tambazi ni nini?.Dalili zake ni zipi?.Madhara yake ni yapi?.Na matibabu yake ni yapi?.Mzizi mkavu na wataalam wengine naomba msaada wa jibu.
 
Tambazi ni kama jipu ambalo linakuwa ndani kwa ndani, km mimi niliwahi ugua ugonjwa huu mwaka 1996 ilikuwa tambazi ya mguu sehemu ya paja, dalili zake zilikuwa maumivu makali ndani ya mguu kiasi hata sikuwa naweza kutembea, paja lilivimba na kubadilika kuwa jekundu, matibabu yake ni operation/ mitishamba. Operation saa ingine inamfanya mtu akipona atembee km ana kilema,Huu ugonjwa sio UKIMWI ila ni ugonjwa mbaya sana ukiumwa utafikiri mgonjwa wa ukimwi na inachukua muda kupona kabisa
 
Hivi huu ugonjwa tambazi/ jipu tambazi kwa kiingereza unaitwaje?
 
Nini sababu ya kutoka uvimbe kama jipu mwilin, unaotoa usaha na tiba yake ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…