Tambazi ni kama jipu ambalo linakuwa ndani kwa ndani, km mimi niliwahi ugua ugonjwa huu mwaka 1996 ilikuwa tambazi ya mguu sehemu ya paja, dalili zake zilikuwa maumivu makali ndani ya mguu kiasi hata sikuwa naweza kutembea, paja lilivimba na kubadilika kuwa jekundu, matibabu yake ni operation/ mitishamba. Operation saa ingine inamfanya mtu akipona atembee km ana kilema,Huu ugonjwa sio UKIMWI ila ni ugonjwa mbaya sana ukiumwa utafikiri mgonjwa wa ukimwi na inachukua muda kupona kabisa