tumia kinyesi cha wanyama mfano simba,chui au hata mamba
nadhani ukiingia kwenye website yao ya www.humanehomes.com utaona contact details zao,if your serious customer watakupa details.i think they ship worldwide, kama sio worldwide with africa since wapo south africa.
Actually nyumba ya mbao inakubali kila mazingira,,sema tu kwa Bongo ,mbao ni gharama sanaUna nyumba ngapi? kama ndo ya kwanza kanunue tofali uanze kujenga kama unazo nyingi basi jenga hiyo ya chupa sijui chuma halafu utakuja kutupa feedback. weather condition ni factor kubwa sana kwenye ujenzi, usine ntumba ya mbao ulaya nawe ukataka kuijenga bongo.