malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Vipimo vya kuangalia utendaji kazi wa figo viko vya namna tofauti tofauti.
1) kupima damu, hapa kuna vipimo kama serum creatinine, BUN,eGFR
2) Kupima mkojo, hapa kuna vipimo kama urine - albumin creatinine ratio, 24 hours urine collection na urinalysis.
3) vipimo vya picha, mfano KUB ultrasound, CT scan na hata MRI.
Hivyo ni baadhi kiongozi, kwa ushauri zaidi fika kituo cha afya kilichopo karibu nawe.
Mkuu nimepima ultrasound imeonekana figo zangu zinakau angaavu flani zime inlarge . Hivi hii inatokana naniVipimo vya kuangalia utendaji kazi wa figo viko vya namna tofauti tofauti.