Msaada ukitaka pima utendaji kazi wa FIGO

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nauliza ukitaka pima utendaji kazi wa figo unapima kitu Gani nakitu gani
 
Vipimo vya kuangalia utendaji kazi wa figo viko vya namna tofauti tofauti.

1) kupima damu, hapa kuna vipimo kama serum creatinine, BUN,eGFR

2) Kupima mkojo, hapa kuna vipimo kama urine - albumin creatinine ratio, 24 hours urine collection na urinalysis.

3) vipimo vya picha, mfano KUB ultrasound, CT scan na hata MRI.

Hivyo ni baadhi kiongozi, kwa ushauri zaidi fika kituo cha afya kilichopo karibu nawe.
 
Mkuu nimepima ultrasound imeonekana figo zangu zinakau angaavu flani zime inlarge . Hivi hii inatokana nani
 
Back
Top Bottom