Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Hamidu Mpishi hujambo?Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
UNasema nini anco tππNenda hospital acha upumbavu, nyie ndo mnaokufa kabla siku zenu
Hamdu omari mpishi upo kizimkazi au paje?UNasema nini anco tππ