Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kaka yupi?pole sana kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yupi?pole sana kaka
Sorry sikuwa nimeona marekebishodada sor
kweli naku support mimi niko hapa nina week mbili naelekea ya tatu nimesema pombe nitakunywa kwa stareheh na sio kama zamani kunywa kila dakika asubuhi mchana jioni yaani 24hrs.nashukuru mungu usingizi napata angalau japo bado mwili hujaka sawa ila matatizo ya kutoka jasho kutetemeka na kujishtukia imeisha.mimi nadhani usikae na jambo moyoni litakutesa maana hata mimi nakumbuka mwaka jana nilipata tatizo ambalo nilikuwa silali mpaka ninywe sana, nimekaa nalo moyoni huku naumia sana, nilienda kwa wataalamu wakaniambia mbona umekaa nalo moyoni limekutesa hivyo mpaka umeisha, walinishauri vizuri sana mpaka hivi sasa pombe nakunywa kama starehe na wala si kwa sababu ya stress, matatizo yameisha, usingizi napata vizuri na afya imetengemaa, usikae na neno huo ndo ushauri wangu