Msaada: Ulimi kujichora kitu kama kiramani kidogo chekundu chenye maumivu makali

TANZANIA NCHIYANGU

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
633
Reaction score
805
Wakuu na hilo tatizo limenianza siku kama nne zilizopita,kilitokea kitu kama kiramani kidogo kwenye ulimi chenye rangi nyekundu hivi siku ya kwanza kilikuwa kama kimevimba kidogo but kesho yake uvimbe ukapotea..hicho kiramani bado kimebaki kwenye ulimi na kina maumivu makali nikila kitu kikagusa iyo sehemu haswa kiwe kitu cha moto or kwa bahati mbaya nikiigusa wakati napiga mswaki.

Naombeni uzoefu wenu jamani hilo ni tatizo gani linasababishwa na nini na matibabu yake ninini sababu nakosa amani kabisa
 

Inawezekana ikawa upungufu wa vitamin be au che jaribu kula matunda kwa wingi na nunua dawa vitamin b complex au vitamin che ikiendelea ni vema uende hospitali inaweza kua tatizo lingine kabisa
 
Inawezekana ikawa upungufu wa vitamin be au che jaribu kula matunda kwa wingi na nunua dawa vitamin b complex au vitamin che ikiendelea ni vema uende hospitali inaweza kua tatizo lingine kabisa
Sawa mkuu ahsante sana kwa ushauri wako wakiungwana,nitajaribu kufanya hivyo
 
Mkuu umeisha pewa majibu?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wadau hapo wamejaribu kuchangia kutokana na experience yao...nawe pia naomba unisaidie kutokana na uzoefu wako nikiunganisha na mawazo mengine ya wadau hapo nafikiri nitaimarika vizuri na kupata tiba sahihi
Mkuu unaupungufu wa vitamin C, wew kanunue multi vitamin kwenye duka la dawa.
But kwa uhakika zaid kama hela ipo kamuone dactar.
Hakuna utaratibu wakutibu kwenye simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…