TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Wakuu na hilo tatizo limenianza siku kama nne zilizopita,kilitokea kitu kama kiramani kidogo kwenye ulimi chenye rangi nyekundu hivi siku ya kwanza kilikuwa kama kimevimba kidogo but kesho yake uvimbe ukapotea..hicho kiramani bado kimebaki kwenye ulimi na kina maumivu makali nikila kitu kikagusa iyo sehemu haswa kiwe kitu cha moto or kwa bahati mbaya nikiigusa wakati napiga mswaki.
Naombeni uzoefu wenu jamani hilo ni tatizo gani linasababishwa na nini na matibabu yake ninini sababu nakosa amani kabisa
Naombeni uzoefu wenu jamani hilo ni tatizo gani linasababishwa na nini na matibabu yake ninini sababu nakosa amani kabisa